Home > Terms > Swahili (SW) > Jumamosi Takatifu

Jumamosi Takatifu

Siku baada ya Ijumaa Kuu, na siku ya mwisho ya Wiki Takatifu, ambapo kanisa huadhimisha wakati Yesu Kristo aliwekwa katika kaburi na kushuka katika Jehanamu.

Katika baadhi ya Makanisa ya Kianglikana Liturujia rahisi ya Neno hutengenezwa siku hii (lakini hakuna Ekaristi) na masomo ya kukumbuka mazishi ya Kristo. madhabahu inaweza kufunikwa na nyeusi au inaweza kuwachwa bure kabisa..

Katika makanisa ya Katoliki ya Warumi, Misa zote hupigwa marufuku kabisa na patakatifu kuwachwa wazi kabisa. kukula sakramenti inapunguzwa sana (hupewa tu kama Viaticum kwa wale wanakaribia kufa).

0
  • Loại từ: noun
  • Từ đồng nghĩa:
  • Blossary:
  • Ngành nghề/Lĩnh vực: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Sản phẩm:
  • Viết tắt-Từ viết tắt:
Thêm vào Bảng chú giải thuật ngữ của tôi

Bạn muốn nói gì?

Bạn phải đăng nhập để gửi thảo luận.

Terms in the News

Featured Terms

Michael Mwangi
  • 0

    Terms

  • 0

    Bảng chú giải

  • 0

    Followers

Ngành nghề/Lĩnh vực: Fruits & vegetables Category: Fruits

Ndizi

tunda maarufu zaidi duniani aina inayopatikana zaidi kutoka Marekani ni ya Cavendish ya manjano Zinachumwa mbichi na hupata ladha bora zikiiva bila ...